Ujenzi wa Shule ya Sekondari Hondomairo (Mtiryangwi) , unahusisha ujenzi wa vyumba vya madarasa 3 ,bweni 01,matundu na matundu 5 ya vyoo.Mradi huu unagharimu jumla ya shilingi milioni 140,500,000.00, hatua iliyofikiwa ni ujenzi wa msingi kwa madarasa matatu umeanza na ufyatuaji wa matofali unaendelea.
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.