Ujenzi huu unahusisha ujenzi wa mabweni mawili (02) na ukarabati wa madarasa na maabara katika shule ya sekondari masawi iliyoko katika kijiji cha masawi kata ya salanka ,na kugharimu jumla ya shilingi milioni mia moja sitini na tano na laki tani(165,500,000.000) toka serikali kuu.Ujenzi umekamilika tayari kwa matumizi.
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.