Ujenzi wa kituo cha Afya Mauno kilichopo kata ya Bumbuta kinahusisha ujenzi wa nyumba ya mganga,jengo la maabara,jengo la kuhifadhia maiti,jengo la wazazi na jengo la upasuaji na yamefikia hatua ya upigaji rangi na yamegharimu jumla ya shilingi milioni 500,000,000.00(milioni mia tano)
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.