HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA
Idara ya Elimu Sekondari
2 (a) MUUNDO WA USIMAMIZI WA ELIMU YA SEKONDARI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA |
||||||
|
|
BARAZA LA MADIWANI |
|
|||
|
|
|
|
|
||
|
|
KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII (Elimu, Afya na Maji) |
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI |
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
AFISA ELIMU SEKONDARI |
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
KAMATI YA MAENDELEO YA KATA (WDC) |
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
AFISA ELIMU KATA |
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
BODI YA SHULE |
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
MKUU WA SHULE |
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
WALIMU/WATUMISHI WENGINE |
|
WILAYA YA KONDOA S.L.P.11,
FAX SIMU: 026-2360313 KONDOA.
026-2360228
E-mail: kdc/@habari.co.tz
MUUNDO NA MAJUKUMU YA MAAFISA WA IDARA YA ELIMU SEKONDARI
1: UTANGULIZI
Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, kupitia Idara ya Elimu ina jukumu la kuratibu na kusimamia utoaji wa Elimu ya
Sekondari kuanzia Kidato cha I hadi cha VI. Sera na miongozo mbalimbali ya elimu hutafsriwa na idara husimamia
utekelezaji wake kulingana na malengo yaliyowekwa ya utoaji wa elimu ya Sekondari kitaifa na kiwilaya.
Utoaji wa elimu ya sekondari hufanywa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa elimu
ndani na nje ya Halmashauri wakiwemo wananchi na jamii kwa ujumla.
2: MUUNDO WA IDARA YA ELIMU SEKONDARI KIUSIMAMIZI NA KIUTENDAJI
2 (b) MUUNDO WA KIUTENDAJI WA ELIMU YA SEKONDARI KATIKA
MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA
|
|
KATIBU TAWALA MKOA |
|
|||||
|
|
|
|
|
|
|||
|
|
AFISA ELIMU MKOA |
|
|||||
|
|
|
|
|
|
|||
|
|
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI |
|
|||||
|
|
|
|
|
||||
AFISA ELIMU SEKONDARI (W) |
||||||||
|
|
|
|
|
|
|||
AFISA ELIMU TAALUMA (W) |
|
|
AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU (W) |
|||||
|
|
|
|
|
||||
|
|
AFISA ELIMU KATA |
|
|||||
|
|
|
|
|
|
|
||
|
|
MKUU WA SHULE |
|
|||||
|
|
|
|
|
|
|
||
|
|
WALIMU/WATUMISHI WENGINE |
|
4: MAJUKUMU YA AFISA ELIMU SEKONDARI (W)
Ni Mkuu wa Idara ya Elimu Sekondari wa Halmashauri. Majukumu yake ni pamoja na:-
10.Kusimamaia tathmini ya wazi ya utendaji wa kazi (Open performance Review and
Aprisal Sytem-OPRAS kwa walimu na watumishi wa Sekondari).
11.Kuhimiza nidhamu ya walimu, watumishi na wanafunzi wa shule za Sekondari
katika Halmashauri.
12. Kufanya kazi nyingine kama itakavyoelekezwa na Mkurugenzi wa Halmashauri.
5: MAJUKUMU YA AFISA ELIMU TAALUMA SEKONDARI WA HALMASHAURI
Afisa Elimu Taaluma wa Sekondari anatekeleza majukumu yafuatayo katika Halmashauri:-
Kubuni mipango ya mitihani ya elimu ya sekondari na kusimamia utekelezaji wake
6: MAJUKUMU YA AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU WA SEKONDARI WA HALMASHAURI
Majukumu ya Afisa Elimu Vifaa na Takwimu wa Sekondari wa Halmashauri ni haya yafuatayo:-
7: MAJUKUMU YA AFISA ELIMU KATA
Majukumu ya Afisa Elimu Kata yamegawanyika katika majukumu ya kiutawala na majukumu ya kitaaluma kama inavyofafanuliwa hapa chini:-
8: MAJUKUMU YA BODI YA SHULE
Kila shule ya Sekondari katika Halmashauri inapaswa kuwa na Bodi ya shule. Bodi za shule zimeanzishwa kw amujibu wa kifungu
cha 39 cha Sheria ya Elimu Na. 25 ya mwaka 1978 kikisomwa pamoja na kanuni za elimu. Pamoja na mambo mengine
, Bodi ya Shule itakuwa na majukumu ya kupitia na kuelekeza Wakuu wa Shule kuhusu masuala ya fedha za shule.
Katika kutekeleza majukumu yake, bodi inatakiwa:-
Kuteua kamati ndogo ya kusimamia mfuko wa maduhuli, manunuzi na ujenzi
9: MAJUKUMU YA MKUU WA SHULE
MAAFISA IDARA YA ELIMU SEKONDARI 2017 |
|||
NA |
JINA LA AFISA |
CHEO |
NAMBA YA SIMU
|
1 |
HILDEGARD SAGANDA
|
AFISA ELIMU (W) |
0754649261/ 0714645225/ 0785571203 |
2 |
ROBERT A. MWENDWA
|
AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU (W) |
0752681482/ 0655317314 |
3 |
AMIRI H. SHEBUGE
|
KAIMU AFISA TAALUMA(W) |
0713729556/ 0752729556 |
4 |
PETER V. SAGATWA
|
AFISA MSAIDIZI-TAALUMA |
0685969999/ 0655735755 |
5 |
JONATHAN Y. PAUL
|
AFISA MSAIDIZI-TAKWIMU |
0717793715 |
|
WATUMISHI WENGINE |
||
|
ASHA NKAMIA
|
KATIBU MUHTASI
|
0784776960 |
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.