Pia shughuli nyingine za kiuchumi zinazofanyika kondoa ni ufugaji nyuki, nyuki wanaofugwa katika eneo letu ni nyuki wakubwa na nyuki wadogo shughuli hii inahusisha uvunaji wa zao la asali inayotokana na wadudu hawa.Ufugaji wa nyuki unahusisha mtu mmoja mmoja na pia kupitia vikundi ambavyo vimeundwa ndani ya jamii husika vikisaidiwa na taasisi mbalimbali kama TFS,AWF,TASAFna Word Vision katika uenezaji wa elimu na utoaji wa vifaa mbalimbali katika kuwezesha na kufanikisha mpango huu wa ufugaji wa kisasa ilikupata mazao bora.
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.