Halmashauri ya wilaya ina mpango mkakati wa kupima viwanja katika miji midogo miwili ambayo ni Pahi na Bereko ,ambapo tayari katika kijiji cha pahi vimepimwa jumla ya viwanja 2095 .Hivi ni viwanja ambavyo vinahusisha urasimishaji makazi ya watu ili kuwawezesha kupata hati miliki ya viwanja vyao .
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.