Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ,anapenda kuwatangazia waliofanya usahili wa kuandika katika nafasi ya afisa mtendaji wa III kua orodha ya waliofaulu usahili huo inapatikana hapa . kwa taarifa kamili bofya hapaMatokeo ya usail wa Veos-april 2023.pdf
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,BUKULU VILLAGE
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz na ded@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.