Kikao cha baraza la madiwani kilicho fanyika tarehe 06/09/2017 katika ukumbi wa kondoa irangi moja ya agenda kuu ilikua ni kumchagua mh. mwenyekiti wa halimashauri ya wilaya kondoa. Katika kikao hicho majina yaliyokua yamependekezwa ni Mh. Gasper Faustine Mwenda ambaye ni diwani wa kata ya Haubi akiwakilisha CCM, na Mh. Habibu Salimu Chobu ambaye ni diwani wa kata ya Kinyasi akiwakilisha CUF.
KONDOA DISTRICT COUNCIL ,KILIMANI STREET
Anuani ya Posta: Box 1 Kondoa
Simu : 0262360313
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@kondoadc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa . Haki zote zimehifadhiwa.